Logo

Black Box!

Habari
20 Septemba 2016
Vithibitisho vya kifo na undugu wao vipo kwenye Black box, saa 5 usiku hapa Maisha Magic Bongo! Ni yetu!
Black Box! Image : 66

Baada ya kifo cha wazazi wao, ndugu wawili walioachwa yatima Fety na Bravu wananamua kutafuta chanzo cha vifo vya wazazi wao, wanagundua kwamba waliuwawa na kikundi cha waalifu wanamuaa kumtafuta muhusika ili kulipiza kisasai, katika utafiti wao wanagundua kwamba kuna siri hiyo inalindwa na kikundi cha wahalifu wakubwa na kuweza kuipata innaweza kugharimu maisha yao je watafanikiwa kuipata Black Box! Saa 5 usiku, hapa MMBongo!

black box 2

Undugu wa Fety na Bravo pamoja na kifo cha wazazi wao ni siri, vithibitisho vya kifo na undugu wao vipo kwenye Black Box.

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat