Shilawadu
Kungwi maarufu mjini Bi Rashida Wanjala anahojiwa na kamanda Mzee mkavu! majibu yake ni sasa!!
Mkavu: Watumia muda gani kujiadaa?
Rashida: situmii nguvu sana kwa vile nimezoea, nimekuwa kwa hii game kwa mda mrefu.
Mkavu: Umefanya matukio makubwa na kushiriki kwa maswala ya Ms Tanzanzia, je ulianzia wapi?
Rashida: Nilipokuwa shule nilikuwa nashiriki kwenya fashion shows. Siku moja nikaenda nyumbani, watu wengine wakanifuata nyumbani wakaongea na bibi kuwa wangetaka nishiriki kwenye fashion show.
Mkavu: Siri ya urembo wako ni nini?
Rashida: mini naishi Maisha ya ukweli sio fake life.Napenda kuishi Maisha ya kawaida
Mkavu: Hivi sasa una mahusiano yoyote au mume?
Rashida: ninayo mahusiano lakini bado kuolewa
Mkavu: Na una mtoto?
Rashida: Bado mtoto
Mkavu: Kuna shida yoyote?
Rashida: Sina shida ni mpango tu wa mwenyezi mungu, kwa mimi mwenyewe itakapofika wakati atapatikana.
Mkavu: Lakini umri unaenda ?
Rashida: Kila kitu kinaenda na wakati na mapenzi ya mwenyezi mungu
Mkavu: Unatamani ndoa?
Rashida: Inategemea niko kwa mahusiano na mtu wa aina gani. Napenda mtu mvumilivu, mwenye mapenzi ya kweli, mtu ambaye atanipenda kidhati, na mwenye subra!
Fanya kuungana nasi kila ijumaa saa 1 Usiku kupitia DStv160 pekee