Logo

Bi Fatima Makongoro apewa tuzo la mwigizaji mkongwe! - Huba

Habari
02 Juni 2022
Bi Sikitu wa #MMBHuba atunzwa na TBC
Untitled design

Bi Fatima Makongoro maarufu kama Bi Kwenda na anajulikana kama Bi Sikitu ndani ya kipindi cha #MMBHuba alipata tuzo wiki iliyopita ndani ya TBC kwa kuwa muigizaji mkongwe. TBC inachagua waigizaji bora nchini Tanzania.Kama familia ya Maisha Magic Bongo, tunapenda kumpongeza na kumsifu kwa kazi nzuri miaka hii yote.

Ndani ya kipindi cha #MMBHuba, Bi Sikitu anaigiza mama yake na Doris. Anajulikana kama mchawi sana ambaye anajishughulisha na tabia zake za kichawi pamoja na mwane Doris. Sasa hivi, Bi Sikitu aliamua kumbarisha Nandy kuwa mbuzi, baada ya Nandy kugundua kwamba Doris alikuwa anaongopa kuhusu mimba yake.

Angalia hapo chini baadhi ya kazi aliyofanya Bi Sikitu ndani ya #MMBHuba.

  1. Doris na Bi Sikitu wagunduliwa kufanya uchawi

 

  1. Bi Sikitu agundua kwamba mwanae ni mkatili

  1. Bi Sikitu ambadirisha Nandy kuwa mbuzi

  1. Bi Sikitu ajaribu kumloga Yakubu

Je unampenda Bi Fatima Makongoro kama Bi Sikitu ndani ya Maisha Magic Bongo? Tuambie hapo chini 👇

Screenshot 2022 06 02 at 15
Bi Sikitu - Huba

Je unampenda Bi Fatima Makongoro kama Bi Sikitu ndani ya Maisha Magic Bongo? Tuambie hapo chini ?

Ndiyo82%
Ndiyo, tena!18%

Usikose kuangalia vipindi vipya ya #MMBHuba kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3 usiku!