Logo

Asante Ramadhani! Hapa MMBongo!

Habari
25 Aprili 2016
Maisha na tabia za mkewe zinamshawishi Adam! Burudika nasi, saa 19:30 EAT hapa MMBongo!
Asante Ramadhani! Hapa MMBongo! Image : 12

ASANTE RAMADHANI
JUMATANO
SAA 19:30 EAT

 

Filamu iliyo na mafunzo ya kuwa mwaminifu katika Dini, wakati wa Ramadhan na baada ya maadhimisho yake. Mke wa Adam ambaye hasisitizi mambo ya kidini ni mwanamke mwaminifu katika mabo ya dini. Maisha na tabia za mkewe zinamshawishi Adam kubadilisha mienendo yake! Burudika nasi, saa 19:30 EAT hapa MMBongo!

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.