ASANTE RAMADHANI
SAA 11 JIONI
JUMATATU

Filamu iliyo na mafunzo ya kuwa mwaminifu katika Dini, wakati wa Ramadhan na baada ya maadhimisho yake. Mke wa Adam ambaye hasisitizi mambo ya kidini ni mwanamke mwaminifu katika mabo ya dini. Maisha na tabia za mkewe zinamshawishi Adam kubadilisha mienendo yake! Burudika nasi, saa 11 jioni hapa MMBongo!