Logo

ANWAR. Swahindi muvi hapa MMBongo!

Habari
31 Mei 2016
Fuatilia kisa hiki leo, saa 17:00 EAT hapa Maisha Magic Bongo! Ni Yetu!
ANWAR. Swahindi muvi hapa MMBongo! Image : 43

ANWAR
JUMANNE
SAA 17:00 EAT


anwar 2

ANWAR kijana wa kiislam ,anafanya uchunguzi wa imani ya ki Hindu.wanapanga chumba katika nyumba ya mama mmoja masikini mjane mwenye binti mrembo MEHRA.Anwar anatokea kumpenda binti huyo ,lakini ghafla anashtuka kugundua kuwa Mehra ametoroka na UDIT,rafiki yake wa kihindu. Anamtaarifu mama yake ambaye anayemjulisha mpwawe na nduguze ambao wanawatafuta na kuwapata katika basi. Wanamuua Udit na kumpiga sana Mehra. Fuatilia kisa hiki leo, saa 17:00 EAT hapa Maisha Magic Bongo! Ni Yetu!

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.