Katika mwezi huu wa Mei, yaani, AFRICA MONTH, tunawatazama wazito kutoka viwanda vyote vya biashara, burudani na mawasiliano. Leo, tunashukuru Mola Diamond Platnumz, Mshindi wa MTV Europe Best African Act 2015 ameleta mwangaza wa ushindi hapa Tanzania na Afrika Mashariki kwa Jumla. Hadithi na ngano zetu za Kiafrika!
Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.
Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.