Hii tamthilia inahusu mapenzi, pesa, ubinafsi na uchawi. Pale ulimwengu wa pesa ukikutana na ulimwengu wa ubinafsi, kitu ambacho kinaweza kuwaokoa ni mapenzi.
S12 | E181
11 Decemba 21:00
'S12/E181'. Huba likinyauka kwa Tima na Jude, mbolea ya kufa kuzikana ina nyunyuziwa katika bustani ya Nandy na Roy, Na ...