Playlist Videos
Video
Majanga mwakubwa mwaka huu - Maisha Magic Bongo #MazuriYa2022
Angalia matukio yaliotushangaza mwaka huu ndani ya tamthilia zetu za Maisha Magic Bongo.
Video
Zuwena hataki majaribu!– Yalaiti
Mume wake Zuwena amleta msichana wa kazi nyumbani na Zuwena amkataa. Remmy ampigia simu mama yake baada ya kugundua kwamba Remmy amemuoa Manka badala ya Stella. Tika amwambia Tanasha chanzo kwake kufukuzwa kazi.
Video
Remmy afumwa!– Yalaiti
Remmy aambiwa ukweli na wazazi wake. Mkurugenzi alazimisha Sasha kumtafuta Tika. Bomo amlazisha mume wa Zuwena kuwa naye kimapenzi. Hatimaye Stella amfuma Remmy na Stella.
Video
Mama Tanasha achoma moto gari ya mwanae– Yalaiti
Remmy awazajuu ya kumchagua mama take au mke wake. Tanasha agombana na mama yake wakati akiwa anathema moto gari yake. Manka na Remy wa jwdili kuhusu ndoa yao.
Video
Stella ana kesi kubwa! – Yalaiti
Baba mdogo wa Remmy afanya mpango wa kumtoa Stella kwa Remmy wakati Manka apanga kumfanyia vibaya Stella. Frida agombana na Zuwena juu ya kuongea na Manka. Wakati Remmy ajuta kumuoa Manka na bado anamtaka Stella
Video
Remmy bado anamtaka Manka– Yalaiti
Remmy amwambia mama yake kwamba anampando wa kwenda nyumbani baada ya Manka kupata mtoto. Tim bado anamuwaza Diana. Wakati Manka akita anamuwaza Remmy, Remmy naye anampango wakurudi nyumbani.