Playlist Videos
Video
Mwanzo wa #MMBWimbi – Wimbi
Baada ya bibi harusi wake kupotea Harry arudi Swazi kwa mchumba wake wa zamani.
Video
James alazimishwa kuchukua mke wa pili – Wimbi
Mama Na amfukuza mwanae nyumbani juu ya Ali. Mama James amlazimisha mtoto wake kwenda na mipango yake juu ya kuoa.
Video
Biha ataka kumuozesha Tiara – Wimbi
Biha ataka kumuozesha Tiara kabla ya kupata fahamu. Jasmin na Harry wazidi ukaribu na James amshitua daktari.
Video
James ataka kumrudisha Tiara nyumbani – Wimbi
James amwambia Tiara kwamba yeye pekte tut ataweza kumrudisha mwenye hali yake ya zamanı. Suzy aja kutembelea mke wa James.
Video
“Maisha mafupi” – Wimbi
Tiara aingilia kikao na Jasmin akita amelewa.
Video
Biha anampango mkubwa – Wimbi
Biha atom amri kwamba ni nyumbanki wake na Jasmin asema sio mama yake. Nana amwambia Frank kama anampenda wakati Frank hataki na Biha awaza mpango wake.
Video
“Unamjua?“– Wimbi
Harry arudi ofisini kwa Suzy na mama yake amwambia kwamba anaongopa. Siri ya Uche yagunduliwa.
Video
Mzee yupo wapi?– Wimbi
Harry na mama yake wafanya bidii ya kumtafuta Mzee wake. Mama Jasmin atoa Baraja kwa mwanae akita anamlilia Harry.
Video
Jazmin kaachwa?– Wimbi
Hindi adai jujus kama Jazmin aliachwa na mama James ataka kujua kama James tatakuwa na Suzy au Tiara.
Video
Kuna jambo kubwa! – Wimbi
Mzee Shamo amfuatilia Diha juu ya Harry na kifo kilichotokea.
Video
“Unanisaliti kwaajili ya huyu mwanamke?” – Wimbi
Sham amzingua Angel baada ya kumfanya arudi nichini.
Video
Hizo ni hasira tu! – Wimbi
Mama Suzy afurahi na ampa raheri Suzy juu wa mume wake mpya. Tiara agombana na Jasmine.
Video
Harry na Tiara wakotayari kufunga ndoa – Wimbi
Mama Harry ataka kujua lini ilikuwa mara ya mwisho kwa Harry kuongea na Suzy na Adam cujus kwanini hamleti Tiara nyumbani.
Video
Finale ya Wimbi – Wimbi
Mume wa Maua picha akidhani kwamba ni yeye na Tiara agundua ukweli kuhusu dada yake.