Playlist Videos
Video
'Mimi ndie baba mzazi wa Julieth' – Slay Queen
Dr Kileo amtafuta Aniseta kumuonya kuhusu usalama wa Julieth. Nana aenda kumuona Chris wakati Evelyn na Derrick wagundua kwamba baba yao alimwachia Julieth shea zote za kampuni.
Video
Julieth yuko wapi? – Slay Queen
Tuli amlilia Hans kuhusu mapenzi yao. Aniseta afanya mpango wa kumrudisha Julieth. Derrick arudi kuongea na Agnes.
Video
Mzee Kasongo afariki – Slay Queen
Kuna msiba ndani ya familia ya Kasongo baada ya kifo cha Mzee Kasongo. Wakati Mzee Fundi amkatalia Derrick urithi wa kampuni ya baba yake.
Video
Dr Kileo ana wasiwasi – Slay Queen
Dr Kileo anataka kuitisha kikao kati ya Derrick na Matiao. Mjomba wake Chris agundua ukweli kuhusu Dr. Kileo. Nana arudi kwa Chris, lakini Chris hana hamu nae tena.
Video
Ben amfuma Restuta na 'Classmate' wake – Slay Queen
Ben afika nyumbani ghafra na kumkuta classmate wa Restuta. Joyce bado ametekwa na Ben apata shida kazini. Hatimaye, Restuta atekwa pia.
Video
Mami yuko wapi? – Slay Queen
Nana ajifunza ukweli kuhusu Chris. Mzee Kasongo anataka Derrick atiwe ndani. Aniseta na Restituta wapambana kazini, na Derrick anamtafuta Mami.
Video
Derrick atekwa! – Slay Queen
Alice ametoka kumpiga bibi harusi. Derrick ametekwa kwa bahati mbaya wakati Mami aamka baada ya usiku mbaya sana.
Video
Nana yuko ndani ya geti kali – Slay Queen
Nana anadai kwenda kumuona mama yake lakini Dr Kileo akataa. Tuli na Hansi wendelea ukaribu wao.
Video
Dr Kileo ajiletea tabu – Slay Queen
Dr Kileo amchezea akili Nana na Fundi anashida na Dr Kileo. Hansi ashangaa jinsi mwanamke mpya alivyo kalili jina lake kwa urahisi.
Video
Mary ni mjamzito! – Slay Queen
Mama yake na Nana agundua mpenzi mpya wa Nana na Ben aomba msamaha kwa mke wake. Mary ni mjamzito na mume wake agundua ni nani amekuwa akimpeleka kazini.
Video
Nana hajui la kufanya – Slay Queen
Nana arudi kumuomba Chris msamaha, na Dr Kileo aendelea kumtongoza Nana. Mariam aamua kumwacha Brian, Derick aendelea kukosana na Julieth.
Video
Dr Chris apatwa na dawa yake – Slay Queen
Dr Kileo afumwa na mama yake Julieth na wote wanaficha siri kubwa. Boy Muddy aendelea kumsumbua Merry. Mama yake Nana afikia hospitali kumuulizia Dr Chris.
Video
Baraka mpya, na familia mpya – Slay Queen
Julieth abeba ujauzito, wakati Boy Muddy apandishwa cheo na Mr Fundi. Mamy na Alice wakosana wakati Derick arudi kwa Agnes kuomba msamahaa
Video
Watoto wa Mzee Kasongo wa ng'ang'ania mali ya mama yao – Slay Queen
Kifo cha Mama Kasongo cha vuruga familia yake zaidi, na Julieth arudi nyumbani kwenye msiba.
Video
Siku ya Harusi – Slay Queen
Nandy bado yupo kijjini akiendelea kusumbuliwa na Jacob. Wakati Ruki amerudi ofisini kukutana na mabadiriko asiyo yapenda.
Video
Simu imeishiwa chaji? – Slay Queen
Alice aamka bila kumbukukumbu ya usiku wake na Brian. Mami ajikuta kwenye matata akiwa chumbani na Derek wakati bwana yake yuko chini.
Video
Vita na Visanga katika Slay Queen
Kuna vurugu kote! Juliet anakataa mkataba wa Derrick. Wiki hii, ni vituko chungu nzima!
Video
Juliet ni Meneja Mkuu wa kampuni ya Far Connect – Slay Queen
Juliet ameshika usukani wa kampuni ya FAR CONNECT. Bwana Kasongo na Derrick wanakosa kusikilizani katika jambo hili. Mke wa Ben anamkuta na mambo ya uhusiano wake na Aniseta.
Video
Posa halali, Boy Muddy na Mzee Kasongo – Slay Queen
Derrick anapojaribu kumposa Agnes, Alice anafika katika shughuli yao! Machozi na majonzi! Huku, Mzee Kasongo anavamiwa na majambazi lakini anaokolewa na Boy Muddy! Ilikuwa Moto!
Video
Mimba ya siri na changamoto za Far Connect! – Slay Queen
Analisa âmeshika mimba! Dericck anazidi kungangana na mahusiano yake na Mammy Kisha, mazungumzo ya wanakamati wa FarConnect yanaendelea kupiga ukuta!
Video
Uchungu wa Mwana – Slay Queen
Mashaka kwake Mary wakati Boy Muddy anatoboa siri yake kuhusu mtoto wao mbele ya Mume wake Jay. Boy Muddy anataka kujua mwanawe ako wapi, na Mary anaubeba na mzigo mkubwa kujibu maswali haya!
Video
Madiliko katika FAR Connect – Slay Queen
i Salome anatolewa katika department ya huduma kwa Wateja na Joyce kuteuliwa. Derrick na Mammy wakiwa katika deti, wanakutana na Jay akijadiliana na mwenzake kuhusu mkopo wa biashara. Mammy amepewa kadi ya simu.
Video
Mabinti wanazuka Moto katika familia! – Slay Queen
Juliet basi amemharibu Mzee Kasongo akili zake! Mahaba yamempanda mpaka Mzee kaenda kumtoa kwenye mikono ya "Madame"! Hakuna gharama hawezi kumlipia! Derick Naye, ni vilevile...mabinti wameazuka changamoto katika boma! Fuatilia uhondo hapa!
Video
Mahaba, vita na majadiliano – Slay Queen
Aniseta anajipata akijibu maswali ya Ben yanayo muudhi sana. Anamwacha na mahaba yake. Kwingine kuzuka vita katika sherehe za birthday. Pata highlights za Slay Queen hapa Maisha Magic Bongo! Ni Yetu!