Playlist Videos
Video
Cosmas amutembelea Rose – Sinia
Cosmas amuomba Rose ampe nafasi mke wake Phina ndani ya kampuni yake. Wakati Marcus avamiwa na Juan bado yupo jela.
Video
Leila aomba msamaha – Sinia
Chaos breaks out at Dr Otiende's office after the nurse double books him. Mr Patel is finally in the country and he brings with him his assistant.
Video
Rose arudi nyumbani – Sinia
Mr Venus amuonya Marcus juu ya Leila wakati Leila yupo hospitalini. Rose arudi nyumbani na Mr Venus hamuamini kwamba Leila ndiye aliye mpiga risasi.
Video
Mahusiano ya Leila na Venus yaisha – Sinia
Leila apigwa na Venus baada ya yeye kugundua ni Leila aliye mpiga risasi mke wake. Chris aenda kumuokoa Trish.
Video
Mr Venus apewa ushahidi – Sinia
Mr Venus apewa ushaidi kwamba Leila ndiye aliyepanga kumuua Rose. Patricia aomwa amuurumie Rose na asiache kazi.
Video
Nani alimpiga risasi Rosie? – Sinia
Mr Venus atoa ofa ya shillingi million 10 kwa mtu atakae weza kumpata mtuhumiwa anayetafutwa. Hatimaye Mr Venus agundua ni nani aliye mpiga risasi mke wake.
Video
Mwanzo– Sinia
Kipindi kipya cha Sinia kinahusu familia mbili za hali ya juu na jinsi wanavyoishi maisha yao na siri zao wanazoficha.