Playlist Videos
Video
Madam Sandra apoteza kila kitu — Sarafu
Jackie kidogo amuogeshe mamake na mvua ya matusi kwa sababu ya kupoteza mali yake. Damien naye ako sawa?
Video
"Leo naamini unanipenda" — Sarafu
Madam Sandra anaigiza kukasirika. Damian anamkubali dadake na Mzee Sanga anatambulisha Jamila ofisini kama mtoto wake.
Video
"Unikabidhi moyo wako" — Sarafu
Damian akutana na Tanya, Jamila kazimia, na sherehe ya Mzee Sanga inakatizwa wakati Madam Sandra anawasili.
Video
"Hali ya mama sio nzuri"— Sarafu
Madam Sandra bado ako hospitalini lakini anafanya maamuzi kwamba hela zake zihamishwe kutoka kwa akaunti yake hadi kwa ya Jumba. Halafu Jamila anamkashifu Damian vilivyo.
Video
Janet amchapa Brenda — Sarafu
Janet anakutana na saa ya Tito kwa Brenda, anakula kichapo cha maana. Jumba nae kafanikiwa kutekwa na Bianca. Baada ya Jamila kushuhudia ya Damian, Chaku hambakishi
Video
Madam Sandra akutana na Janeth — Sarafu
Mzee Sanga na Janet wagundua mali zao zote zipo mikononi mwa Madam Sandra. Jumba nae kafanikiwa kutekwa na Bianca.
Video
Machozi ya Zawadi — Sarafu
Jackie akataa kujiunga na mamake. Zawadi anamwelezea Mzee Sanga kuwa Madam Sandra alimtishia. Damian na kasheshe linazuka katika mgawanyo wa mali za kampuni ya Mzee Sanga
Video
Sandra amtishia Zawadi — Sarafu
Ni mazishi ya babake Damien. Sandra anazuiliwa kushiriki katika ibada. Baadaye anatishia Zawadi na kumuambia kwamba ana siku mbili pekee ya kuishi.
Video
Mzee Sanga amerudi — Sarafu
Janet amefurahi babake amerudi lakini Madam Sandra ako na wasiwasi. Damian amejawa na huzuni na kuapa kufanya juu chini kuwapata walio husika na kifo cha baba yake.
Video
Mzee Sanga ni mzima?- Sarafu
Daktari anadai Mzee Sanga ni mzima kabisa, yaanii kwa kifupi anajifanya amepooza
Video
Damian anapambana – Sarafu
Njoroge hatimaye wamefanikiwa kuingia katika hemaya ya Madam Sandra, Damian anapambana na Tito kujua yalio mkuta babake, anayopangiwa na kunenewa Mzee Sanga ni balaa.
Video
Damian ameachiliwa- Sarafu
Usalama wa Mzee Snaga nyumbani kwake una ati ati, Damian ameachiliwa anakuta baba yake ametekwa, Tamari kazama mtegoni, Je Ibra na wenzake wanamipango gani?
Video
Kichwa ama mkia – Sarafu
Je Ni Kichwa ama mkia? majibu haya tutayapata katika tamthilia ya #SARAFUTZ, tamthilia ya kukata na shoka itakayoanaza January 6 saa 1:30 Usiku, kupitia DStv160 pekee
Video
Mwuaji kati yetu katika Sarafu
Maisha ya Jackie Sanga yako hatarini kutokana na mahusiano ya chuma. Wake wa Eng. Samuel na Eng. Sanaga wamekata shauri kuwatalaka waume wao. Bi Sanga anataka nusu ya mali . Itakuwaje? Maisha Magic Bongo yakuletea baadhi ya filamu nzuri kabisa toka Bongowood!
Video
Hatari Gerezani katika Sarafu
Eng Sanga anavamiwa gerazani na kuokolewa na Chuma. Mke wake Sanga anapanga njama huku binti zake wakitafuta kunusurika. Maisha matata katika Sarafu! Tembelea tovuti yetu: maishamagicbongo.tv/sarafu Maisha Magic Bongo yakuletea baadhi ya filamu nzuri kabisa toka Bongowood! Endelea kutizama DStv chaneli 160
Video
SARAFU: Siri za Janeth na Jackie kalipuka! Season 1
Bi na Bwana Sanga wakitafuta chanzo za uhalifu uliompata mtoto wao, Bi Sanga anatoa habari za mahusiano yao kinaga ubaga kwa baba yao! Eng. Samwell huku akijaribu awezavyo kumbembeleza mke wake amsamehe. Tembelea tovuti yetu: maishamagicbongo.tv kupata video na habari zaidi! Maisha Magic Bongo yakuletea baadhi ya filamu nzuri kabisa toka Bongowood! Endelea kutizama DStv chaneli 160 Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo
Video
OFFICIAL FIRST EPISODE – Sarafu
Tazama kipindi cha kwanza cha #MMBSarafu katika chaneli yetu ya Youtube! Endelea kutizama DStv chaneli 160 Maisha Magic Bongo yakuletea baadhi ya filamu nzuri kabisa toka Bongowood! Endelea kutizama DStv chaneli 160