Playlist Videos
Video
Furahia na DStv Juni Hii - Gladness Kifaluka
Gladness Kifaluka atoa ratiba ya vipindi vya kuangalia ndani ya Maisha Magic Bongo Juni hii
Video
Dhohar kuanza tarehe 28 Oktoba - Maisha Magic Bongo
Jiunge nasi kwa mwanzo wa Dhohar, Jumamosi tarehe 28 Oktoba ndani ya DStv chaneli 160!
Video
Sho Madjozi ajiunga na Jua Kali
Mwanamuziki maarufu tokea Afrika Kusini ajiunga na kipindi cha Jua Kali ndani ya chaneli ya Maisha Magic Bongo.
Video
Richard Mofe-Damijo
Muigizaji maarufu tokea Nigeria ajiunga na kipindi cha Jua Kali ndani ya chaneli ya Maisha Magic Bongo.
Video
Mwali itaanza 29 Oktoba ndani ya Maisha Magic Bongo!
Tamaduni zetu zitukuzwe na #Mwali wetu atatoka kimasomaso na heka heka kama hivi. Save the date Oktoba29 saa 3 usiku, katika kijiwe pekee cha burudani Tanzania.
Video
Yalaiti itaanza 4 Julai - Maisha Magic Bongo
Kipindi kipya cha Yalaiti kitaanza tarehe 4 Julai saa 4 usiku ndani ya Maisha Magic Bongo.
Video
Majanga ya siku ya harusi
Harusi za mwaka huu ndani ya Maisha Magic Bongo zilijaa majanga na kuna tatu ambazo zilitusikitiza sana. SEO KEYWORDS: Maisha Magic Bongo, MMBongo, MMB, Sinia, Pazia, Jua Kali, Huba, BestOf2021
Video
Danga
Pipi, Angel na Mo ,wadada wa mjini wanafanya juu chini kuhakikisha wanamlaghai Mark tajiri mkubwa mjini.
Video
La Familia
Maamuzi ya Mzee Ibrahim ya kugawa mali zake yanaleta uhasama mkubwa katika familia, akijaribu kuweka mambo sawa, anazidi kuyavuruga.
Video
Celebrating the African Film heritage with Afrocinema
The Afrocinema pop-up channel, a festival of African film that seeks to celebrate both stories and storytellers launches May 21st.
Video
Start from the first season on Showmax
It is never too late to start binge-watching your favourite shows from the first season on Showmax. Go to www.showmax.com to click play or sign up.