Playlist Videos
Video
Kaboba ni Mwantumu Kijakazi! – Mwantumu
Kaboba aka katika shughuli za upelelezi kwa nyumba ya Bossi. Amegeuka sasa kuwa Binti Mwantumu! Vichekesho Maalum!
Video
Hasira za Mzee Mwalubadu katika Baraza! – Mwantumu
Mzee Mwalubadu amekasirika, huku ajenda ya Baraza ikiendelea! Kuliendaje?
Video
Umbea utamaliza Mzee Mwalubadu – Mwantumu
Mama Bahati, Bi Sophia na wengine kwa pamoja wanawaletea vichekesho vya aina yake.
Video
Kaboba, mkimbiza rinda! – Mwantumu
Kaboba hajatosheka kumpa Zawadi ujauzito, bado yuko kila mahali akiwatongoza mabinti! ilikuwaje?
Video
Labour Pains! Zawadi karibu kujifungua! – Mwantumu
Zawadi ameshikwa na maumivu ya kujifungua akiwa mtaani. Msaidizi wake ni nani? Mlevi Chakari au ni Daktari? TAZAMA!
Video
Mavazi ya mabinti na tabia duni za wazee! – Mwantumu
Huku binti wa Sheik akijaribia nguo za mini dress, Mama yake hana ruhusa ya kumsifia! Pande nyingine, Baba amepatikana kuwa anatumia hela za familia kiholela! Mke wake, amegundua!
Video
Ujumbe mufti kutoka Mzee Mwalubadu – Mwantumu
Mohammed Fungafunga, msanii na muigizaji kikongwe wa filamu na tamthilia za Bongo anatukumbusha utamu wa tamthilia kichekesho, #MwantumuTZ unaorudi kwa msimu wa pili! TAZAMA!
Video
Mzee Mrisho anamtetea Kaboba! – Mwantumu
Mzee Mrisho akita katika shughuli zake za kutongoza wasichana wadogo, anakutana na majirani wake. Anamtetea Kaboba akidai kwamba yeye ni kijana modo asiyekomaa na kukana mimba aliyompa binti wa mwenzio! TAZAMA!
Video
Kaboba, mkimbiza rinda! – Mwantumu
Kaboba hajatosheka kumpa Zawadi ujauzito, bado yuko kila mahali akiwatongoza mabinti! ilikuwaje?