Mpambaji maharusi – Maisha YanguTangu utotoni Maza hakukubali kuwa nyuma kwa kila jambo alilofanya, aliamini kuwa mikono yake inaweza kufunya kazi. Amefanya karibu shughuli zote za mikono ikiwemo ususi,upambaji,utengenezaji wa vikapu,ufumaji wa vitambaa,upishi na nyinginezo