Playlist Videos
Video
Risasi ya pigwa– La Familia
Bando amfokea mke wake juu ya yeye kuongelea mambo ya Viola na Sauda wataka kufunga ndoa na sio familia yake. Ibrahim asikitiswa na mke wake baada ya kugundua Helen anatembea na kijana mdogo na Rafael aomba kurudiana na mchumba wake wa zamani.
Video
Naomba msamaha! – La Familia
Kaka yake na Violet aenda hospitali kumuomba mke wake msamaha na akataa.
Video
Msiba wa Fina – La Familia
Familia ya Fina ya kutana juu wa msiba wake lakini hawamjui mtu aliyekuwa anaongea. Pia Robin aambiwa kwamba atalipa kwa maovu aliyoyafanya.
Video
Fujo! – La Familia
Dada yake Siti aja kumtafuta Joel, wakati fujo ya tokea ndani ya mkutano.
Video
Viola kapona! – La Familia
Viola aamka baada ya kuumwa kwa muda mrefu na tayari aanza kupigana na mamdogo wake. Joel hataki Siti aondoke juu ya mimba yake.
Video
Siti amuonya Joel! – La Familia
Siti alalamika kea Joel juu ya kupewa chumba kidogo kuzidi Sasha na Martha. Wakati Victor aamuka na Luambano amwambia Teddy kwamba anampenda na Fina haamki!
Video
Sam aachwa – La Familia
Sam aachwa baada ya kumuomba mchumba wake amuoe. Violet HL amwbia Tasha kwamba uhuru wake unakatibia baada ya kuanza vita na familia yake.
Video
Adui hatoki mbali – La Familia
Violet aenda kwa Tasha ili kila mtu ajue baba yake anatumia nguvu za giza kwenye biashara zake. Noella na mama yake wagomba juu ya Sam.
Video
Maadui– La Familia
Kivu apewa siri ya hali ya juu, na Violeth amwabia Raphael kwamba sasa ni maadui. Mama Ibrahim apewa ushahidi kwamba mume wake anatembea na wanawake wengine.
Video
Damu itamwagika – La Familia
Bwana Ibrahim na mke wake wagombana juu ya watoto wao. Victor ampiga mke wake Vina juu ya jinsi anavyoishi maisha yake.
Video
La Familia
Maamuzi ya Mzee Ibrahim ya kugawa mali zake yanaleta uhasama mkubwa katika familia, akijaribu kuweka mambo sawa, anazidi kuyavuruga.