Dr Desire ahamia kwa Madam Veronica – KarmaNama na Khizzer waendelea kupigana wakati De Desire ahamia kwa Madam Veronica. Na Misa achua huo wakati kumuweka sawa Dr Desire na kuonyesha kwamba yeye ndio mama wa nyumba. Kivu agimbania mume wake, na pia Misa akataa kupimwa utrasound.