Playlist Videos
Video
Kutana na maDivas na maHustlas wa Dar es Salaam – Divas & Hustlas
Angalia kipindi cha kwanza cha Divas & Hustlas tukikutana na Malkia Karen, Zee Cuty, Kontwana, Chino, MC Kitana na Reyjones,
Video
I'm the champion – Divas & Hustlas
Chino apanga party bomba kabisa, anawaalika wenzake akisema hajamzuia yeyote kula nyama. Pia wiki hii wenzake, wakiwemo Zee Cuty wamuandama Chino kuhusu kununua mbuzi bila vinywaji.
Video
Kontwana arudi kwenye shule yake ya msingi – Divas & Hustlas
Kontawa arudi kwenye shule yake ya Armani kuwatia moyo wanafunzi wakati mtoto wa Reyjones anahitaji miwani.
Video
Chino azumzia familia yake – Divas & Hustlas
Chino aongelea kuhusu huzuni zake baada ya kupoteza wadogo zake, waakt Kitana anafanya shoot ya video.
Video
Mechi ya Kinata na Justin – Divas & Hustlas
Bodyguard wa Kinata, Justin afanya mechi na Kinata.
Video
Mechi ya Kinata na Justin – Divas & Hustlas
Bodyguard wa Kinata, Justin afanya mechi na Kinata.
Video
Shida ni nini? – Divas & Hustlas
Kontwana afanya shoot ya video yake wakati Chino acheleweshwa na ampiga kamera.
Video
Mara ya kwanza kwenda Kigoma– Divas & Hustlas
Kontwana afanya safari ya kwanza kwenda Kigoma na gari la Malkia Karen ya kwama njiani wakati Chino afanya video ya muziki wake.
Video
“Nawaacha wote!” – Divas & Hustlas
Chino afanya mango kuzindua nyumba mpya, wakati Kontwana akasirishwa na uchelewaji.
Video
Siku ya sherehe
Ben Pol atembelea sherehe wakati mtoto wa Rejones afanya graduation na Chino afanya sherehe kwake.
Video
Finale ya msimu wa kwanza – Divas & Hustlas
Kundi la aamua kukutana na kufanya michezo pamoja na Chino aongelea kuhusu ajali yake.
Video
Kingereza na Divas & Hustla - Mazuri ya 2023
Jifunze kiingereza cha Divas na Hustlas.
Video
Mwanzo wa msimu wa pili - Divas & Hustlas
Gladness Kifaluka atoa ratiba ya vipindi vya kuangalia ndani ya Maisha Magic Bongo Juni hii