Playlist Videos
Video
Said anataka mwanamke mcha Mungu – Date My Family Tanzania
Bachela wa wiki ni bwana Said Wale na ni mfanyakazi wa kituo cha television. Anapenda kusiliza music na kuogelea na anatafuta mwanamke mcha Mungu. Alishawahi kuoa na alikaa kwenye ndoa kwa miaka saba. Atachagua kati ya Jackline, Sofia na Irene. Je atachagua nani?
Video
Peter hataki mwanamke anayependa kwenda Club – Date My Family Tanzania
Bachela wa wiki hii ni Peter Rusagira kutoka Kigamboni. Ni mpiga picha na ana umri wa miaka 24. Baada ya kukutana na familia zote tatu, inabidi afanye maamuzi ni mrembo gani atampeleka kwenye deti.
Video
Unaweza kuendana na mimi? – Date My Family Tanzania
Baada ya kuachana na familia mabachela wa wiki hii wakutana na kwenda kwenye deti. Kwenye deti ndio waanza na maswali ya kujuana, ambapo wataka kufahamu kama wanaendana.
Video
Maswali ya muhimu – Date My Family Tanzania
Mabachela wa wiki hii wakutana na kwenda kwenye deti. Dada huyu hataki mwanaume wa kumpotezea muda na amekuja na maswali mengi.
Video
Rakim apakwa lipstick kwenye deti ya kwanza – Date My Family Tanzania
Bachela wa wiki hii ni Rakim Mwampamba kutoka Dar es Salaam, lakini alishawahi kuishi China. Amchagua Mary lakini hajajua kama yeye na Mary wataendana.
Video
Filbert azidiwa – Date My Family Tanzania
Bachela wetu wa wiki hii ni Filbert Soso mwenye miaka 47 na ni mkulima. Anahitaji mwanamke mnene wa wastani, mweupe na mwenye tabia ya uvumilivu. Amchagua mama anaye endana nae vizuri.
Video
Norbert anapenda mwanamke anaye kunywa? – Date My Family Tanzania
Bachela wa wiki hii ni Nobert Kamala, ambaye ni mfanya biashara toka Tegeta. Amchagua dada anayendana nae umri, lakini hilo ni tatizo kwake.
Video
Junior amfanisha Habiba na Oprah – Date My Family Tanzania
Bachela wa wiki hi nii ni Habiba Mustafa, toka Mikocheni na ni mwanafunzi. Amchagua Junior Kibaja amabaye anaye cheza basketball.
Video
Salma na Hussein wagonga champagne – Date My Family Tanzania
Bachela wa wiki hi nii ni Salma Nyka, ni sekretari anaye tokea Kawe. Amchagua Hussein na wafanya mpango wa kuanza mahusiano.
Video
Yohana anataka ukaribu na mwanamke wake – Date My Family Tanzania
Bachela wa wiki hi ni Yohana Simon toka Kibaha. Aliachana na ex girlfriend wake kwa sababu ya umbali. Amchagua dada mpole na mrembo anayetaka heshima.
Video
Faith hataki kupelekeshwa na Chakalaka – Date My Family Tanzania
Bachela wetu wa wiki hii ni Faith Msuya anayetokea Temeke. Amchagua Chakalaka ambaye ni mwana mziki. Mwisho wa deti aganikiwa kupata busu.
Video
Naheeda hataki kuumizwa na Clement – Date My Family Tanzania
Bachela wetu wa wiki hii ni msanii anayeitwa Clement kutoka Bagamoyo. Amchagua Naheeda. Naheeda amemkubali na anataka mambo ya endelee.
Video
Elina anataka kumjua zaidi Mussa – Date My Family Tanzania
Bachela wetu wiki hii ni Mussa Makundi, mchaga anayependa sana kusafiri. Anahitaji mwanamke ambaye atamsikiliza. Kati Misky, Lucy na Elina amchagua Elina kwenda kwenye deti. Lakini bado wajipa muda kujuana.
Video
Arolissa amuhukumu Chrispine – Date My family Tanzania
Bachela wa wiki hii ni Arolissa kutoka Kunduchi. Ni mwana sanaa na amchagua Christine kwenda deti, lakini hapendi jinsi Chrispine alivyo toboa masikio.
Video
Aggey anataka kumpeleka Cecilia kuogelea – Date My family Tanzania
Bachela wa wiki hii ni Aggey Lugano kutoka Kumara. Amchagua Cecilia na anataka kumpeleka Cecilia kuogelea na club.
Video
Vigeregere kwa Esther na Casto – Date My Family Tanzania
Esther Charles ni mjasiri ya mali toka Mbezi Beach. Amchagua Casto kwenda kwenye deti na wakubaliana kuishi pamoja kabla ya ndoa.
Video
Kendrick akutana na Angela wawili – Date My Family Tanzania
Kutana na mpiga picha, Kendrick Junior, anapenda kucheza mpira. Amchagua Angela, mwanafunzi wa UDSM. Akiwa na pacha wake, Angela akaamua kuzungia Kendrick kidogo.
Video
Mariam abadirisha mawazo yake kuhusu Wasambaa – Date My Family Tanzania
Mariam ni mwanamziki mkali anayetafuta mume. Amchagua Hillary kwenda deti, ingawapo alikua hataki Msambaa na Hillary ni Msambaa. Anasema hayupo tayari kuwa mke wa pili lakini aweza kuwa mke wa pili kama ni lazma.
Video
Warembo wawili wakutana – Date My Family Tanzania
Ally ni model wa miaka 24 na baba wa mtoto mmoja. Amchagua ex-Miss Tanzania runner up, Suzan kwenda nae deti kati ya mabachela . Lakini changamoto za mapenzi ndio kitu wote wana wasiwasi nacho.
Video
Catherine anogewa na msusi – Date My Family Tanzania
Unono Said ni msusi wa nywele za kike anatokea Tabata amchagua Catherine kwenda kwenye deti. Catherine alipenda Unono sana na ameshaanza kupanda maisha yao pamoja.
Video
Dini au Mapenzi? – DMF Tanzania
Bwana Abraham ni mjasiri ya mali,mwenye miaka 30. Amuchagua bi Zawiya kwenda kwenye deti lakini wafika njia panda kwenye kuamua ni nani atabadirisha dini yake.
Video
Nyimbo ya Vivian – Date My Family Tanzania
Vivian Fredy mkazi wa Mbezi Beach anapenda watoto na anatafuta mtu wa kujenga nae maisha. Amchagua Brian kwenda kwenye deti na anapenda jinsi Brian anavyo imba lakini hajui kama sauti ya Brian itatosha kufanya aende nae deti ya pili.
Video
Mchaga kapata mtoto – DMF Tanzania
Doreen ni msichana wa miaka 26 toka Dar es Salaam, kwenye kipindi hiki alimchagua Godson kwenda kwenye deti. Godson aamua kwenye deti kumpeleka Moshi.
Video
Mwanamke apitae kwenye ndoto za – DMF Tanzania
Bachela wa wiki, Edward akutana na familia tatu za wapenzi watarajiwa. Hatimae achagua mmoja na deti yao ilichukua mwendo mbaya sana.
Onyesha Zaidi
24 ya 25