Playlist Videos
Video
Finale! -Danga
Timu ya Angel bado imetekwa na rafiki yake Pipi ajifunza kwamba bao yake sio baba yake mzazi.
Video
Kifaa cha kufuatilia – Danga
Inspekta Mwana aweka kifaa cha kufuatilia kwenye gari ya akina Pipi. Caro awataarifu wenzake kwamba Morris anawafuatilia. Pipi atoa habari kwamba Mo anatafutwa.
Video
Pipi yupo tayari kuongea - Danga
Mo aenda kumchukua Pipi kwa Ziko na wafumwa na Inspekta. Pipi ajikuta akimlaumu Angel kwa Alice na amua kumpa Inspekta jina la Angel kama mkuu wao.
Video
"Wivu utakuua" – Danga
Pipi ana huzuni pamoja na Mo wakidhani kwamba Angel amewaibia. Mchumba wake na Pipi agombana na Mo wakati Pipi atekwa.
Video
Mtego! – Danga
Mo aingia kwenye mgogoro na Angel na Pipi baada ya kumleta mchumba wa Pipi. Lucy arudi kwa wakina Pipi na anajisi kwamba yeye pia no familia. Inspekta Mwana apata habari kuhusu walipo.
Video
“Police wanatutafuta” – Danga
Mapolisi wafanya mpango wa kuwakamata wauwaji wa tembo na wawakamata. Angel amkumbuka mume wake wakati Dee anawasiwasi wa kukamatwa!
Video
Ulikuwa unanitumia? - Danga
Mo na Angel wakutana na rafiki yake Angel. Pipi amfuatilia Don ju ya wizi wa ndovu ili wanuibie. Hatimaye Pipi agundua kwamba mchumba wake alikuwa anamtumia.
Video
Angel, nini kinaendelea? – Danga
Angel ataka mafigo ya Robi kabla hayajafika kwa Mr Chacha. Wakati Pipi ana mtu mpya kwenye maisha yake.
Video
Angel akutana na Mark– Danga
Angel aongea na Mark kuhusu kuwekwa kwenye bank akaunti yake. Wakati Pipi yupo na danga lake mpya.
Video
Kazi imeanza – Danga
Kabla ya kupata kazi, Pipi aambiwa ni mahitaji gani yanatakiwa kwake. Angel atafuta njia nyingine ya kuibia Ginimbi zaidi ya millioni mbili. Wakati inspekta bado anataka Mark aongee.
Video
Angel atekwa – Danga
Pipi ampigia simu Mark kujua habari za Bariani harafu agundua kwamba Bariani amefariki. Harafu Mo na Pipi bado wanamtafuta Angel. Angel aombwa billioni tatu juu ya deni lake.
Video
Mtego wa Pipi! – Danga
Inspector aanda kundi la kuwatafuta Mo, Pipi na Angel. Wakati Angel aondoka baada ya kuwaibia Pipi na Mo. Hatimaye Mak agundua kamba Pipi, Angel na Mo wanafanya kazi pamoja.
Video
Danga la kwanza – Danga
Angel, Mo na Pili wakutana na Mak na wajaribu kumsoma ili waweze kumuibia.
Video
Danga
Pipi, Angel na Mo ,wadada wa mjini wanafanya juu chini kuhakikisha wanamlaghai Mark tajiri mkubwa mjini.