Logo

Watazamaji wa Huba wa mfariji Mama Nandy

Habari
25 Mei 2022
Mama Nandy ana huzuni baada ya mwanae kubadishirwa kuwa mbuzi.
Screenshot 2022 05 25 at 14

Baada ya kuugua kwa muda kidogo, Nandi alizidiwa na aliishia hospitali na familia yake ilitoka kijijini kumpa moyo na kumsahidia Roy kumuuguza. Wakati huu mke mwenza wake, Doris alikuwa bado anajidai kwamba alikuwa na mimba ya Roy na kwa bahati mbaya Nandy aligundua ukweli na alikuwa tayari kumwabia Roy nah apo ndipo mama yake na Doris, Bi Sikitu aliamua kumbarisha Nandy kuwa mbuzi ili asiweze kumwambia Roy ukweli.

Familia ya Nandy ilibidi wa mchukue Nandy, akiwa mbuzi na kumrudisha kijijini ili watafute mganga wa kienyeji atakae weza kumsahidia Nandy kuruduia mwili wake. Mama yake na Nandy akata tamaa juu ya kumpata mwanae tena baadhi ya watazamaji wa #MMBHuba waliamua kumpa Faraja:

 

@gillianshootz wa Instagram anasema:  "Amlete huyo mbuzi tumchinje siku ya harusi ya Nandi na nenga😂😂😂😂`"

@shiraz__1 wa Instagram anasema:  "Ila huyu mbuz nae apatiwe tunzo ya uigizaji 😂😂😂😂"

Nyambuu Irene wa Facebook: "Ipo siku Nandy atarudi, aendelee kumng'ang'ania, maombi ndo suluhisho!"

Pendo Richard Shayo wa Facebook: "Asihangaike kwa waganga yupo Mungu wa Mbinguni anaweza kusambaratisha ngome ya bi sikitu."

@tuma_ringa wa Instagram anasema:  "Mbuzi ajengewe sanamu lake la tunzo ya uigizaji jamani khaa"

Je unafikiri Nandy ataweza kurudi kwenye mwili wake wa zamani? Tuambie hapo chini

Screenshot 2022 05 25 at 14
Unafikiri Nandy atarudi? - Huba

Je unafikiri Nandy ataweza kurudi kwenye mwili wake wa zamani? Tuambie hapo chini

Ndiyo89%
Hapana11%
Kwa mengine zaidi: