Tunaomba uchukue dakika chache kuweza kuipigia kura Tamthilia ya JUA KALI Ili iweze kupata ushindi katika tuzo hizi za kimataifa.
- Ni rahisi sana unaingia kwenye link hii https://www.zikomoawards.com/vote/
- Kisha una scrow down mpaka utakuta kipengele Cha BEST MOVIE/SERIES OF THE YEAR AFRICA.
- Utaona jina la Tamthilia JUA KALI Kisha uta bonyeza hapo kwenye jina.
- Itakuja fomu ambayo wewe mpigaji kura utajaza Jina lako, email yako na namba ya simu Kisha utabonyeza neno send.
- Baada ya kumaliza hapo utakuja ujumbe wa THANKS FOR VOTING ...hapo utakua umemaliza zoezi Zima la kupiga kura.
Link kwa Bio ya @juakali_tamthilia na @lamataleah
ASANTENI NA MUNGU AWABARIKI SAANA🙏🏾
Pia usikose kuangalia kipindi cha #MMBJuaKali kila Jumatano hadi Ijumaa saa 3:30 usiku ndani ya DStv chaneli 160!!