Logo
Yalaiti HDtv 1920x1080
channel logo dark

Yalaiti

160Drama16

Watanzania wampa Diana ushari! - Yalaiti

Habari
29 Novemba 2022
Dar es Salaam ni jiji ya wajanja, watanzania wamkalibisha Diana na ushari
Screenshot 2022 11 28 at 16

Baada ya kujikuta ndani ya Bongo, Diana ajaribu kujitafutia maisha ndani ya Dar es Salaam.


officialcalv_22

"Asile mihogo walaji wanajulikana ni yanga 😂😂😂"

Vivianne Asery

"Unatakiwa uwe muongo uku Ukiwa mwema sana utaumia"

Ayoub Gibson

"Njoo mjini na akili zako tabia utaikuta mjini."

baraka_chengula22

"ajizime Data"
gracekuhamba

"Maisha ya dar nimazuri yaamani pia ❤️ awe na amani"

anney4610

"Bongo unauzwa ukiwa unajiona ivi ivi na sainiyako juu kuwa umekubali"

iamrobbiemusicca

"Huku Dar wanaume sio rizki"

Tuambie unafikiri Diana anatafuta nini Dar es Salaam?

Endelea kufuatilia kipindi cha #MMBYalaiti kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 4 usiku ndani ya Maisha Magic Bongo!