Logo
Slay Queen SP Billboard
channel logo dark

Slay Queen

160Drama16

Utamkumbukaje Mzee Kasongo? – Slay Queen

Habari
02 Decemba 2020
Mzee Kasongo amekuwa mgongo wa familia ya Kasongo na kifo chakekimeacha upweke mwingi kwenye familia yake na SlayQueen, watazamaji wa toamaonia yao na jinsi gani watamkumbuka.
20201202 143741

Baada ya kifo cha mke wake wa kwanza, Mzee Kasongo alianza maisha mapya na Julieth. Hapo akadhani kwamba ndio anawezakupumza. Lakini Derrick alivyo ingiza matatizo nyumbani na kazini, ikampandishia presha na akaanza kuumwa. Baada ya muda Mzee Kasongo alifariki na kuacha watu wengi wapekwe kama baba wa Slay Queen.

Watazamaji wa #SlayQueenTZ walitoa salaam za rambirambi na kuonyesha jinsi gani watamkumbuka Mzee Kasongo:

 

  1. “Mzee anayejua kubalance shobo” – @janekalinga4 (Instagram)
  2. “Ntakumbuka jinsi alivyokuwa akimpenda Julieth.” – @winn5123 (Instagram)
  3. “Kumrekebisha mwanae Derick” - @fraini_quality_pan (Instagram)
  4. “Busara zake” @dinna_cosmas (Instagram)
  5.  “Alikuwa baba mwenye msimamao na mwenye kuona mbali” – @Unique_shey (Instagram)
  6.  “Busara zake, upendo kwa icon Mrs. Kasongo mdg” – @glory_eliud (Instagram)
  7.  "Mzee mwenye msimamo hapendi kupelekeshwa ka play party ya baba bora” - @violeth_211 (Instagram)
  8. “Yuko smatsana uyu mzee” – @mamalizbety (Instagram)
  9.  “Maneno kuntu yake" - @official_kr_17 (Instagram)
  10. "Humble man” - @saul_stephen22 (Instagram)                                                                                                                            

 

      Usikose kuangalia #SlayQueenTZ kila Jumatano mpaka Ijumaa saa 3:30 ndani ya Maisha Magic Bongo, chaneli 160.