Logo
channel logo dark

Sarafu

160DramaPG13
Mr. Sanga

Mr. Sanga

Mr. Sanga ni Mzee mwenye kiu ya maendeleo ya haraka lakini, ni muoga  kujaribu mambo mapya. Ni Mtu mwenye tabia ya ukali wa asili, asiye na msimamo wa kudumu na kuamini mapenzi ya dhati. Mr. Sanga anapenda kulipisha visasi.