Logo
channel logo dark

Sarafu

160DramaPG13
Mr Samwel

Mr.Samwel

Adui yake Mzee Sanga, Mr. Samwel ni mtu mwenye hulka ya kujiamini sana. Ni mume asiyemjali mkewe Maua kwa kipindi chote na ni mpenda wanawake na starehe. Mr. Samwel ni mwanume asiye abudu mapenzi ya dhati na ni mwenye hulka ya ushawishi. Ni Mzee anayependa dhuluma na mwenye mapenzi yasiyoeleweka kwa mwanae Damian.