Logo
channel logo dark

Sarafu

160DramaPG13
Janeth

Janeth

Mtoto pekee anayependwa na kuaminiwa katika familia ya Mr.Sanga. Janeth ni Msomi na mwenye kujiamini, pia ana mapenzi ya dhati na Damian.  Janeth ni binti mwenye hulka ya kuchanganya mahusiano ya wanaume wengi, yaani, si mwaminifu kwenye mapenzi. Ni binti Jasili na mwenye wivu ambaye ni adui mkubwa wa Jamila. Anayejitoa muhanga kwa ajili ya mapenzi.