'S2/E1'. Mapenzi, visa, wivu, usaliti na visasi vinatawala katika familia ya Mzee Sanga,Damiani na Janeth wanatekwa Jackie anarudi nyumbani anakuta hali mbaya na wazazi wake. Njoroge kulipiza kisasi anamtumia Tamari kutimiza adhma yake
Yajayo
S2 | E36
14 Mei 03:30
'S2/E36'. Simulizi la maisha halisi ya Mtanzania, pale familia mbili zinapo ungana katika harakti za kuitafuta sarafu wa...