Rebeca
160
Drama
6
Main
Video
Habari
Ussy apata Kichapo-Rebeca
Video
27 Novemba
Wiki hii kwenye #REBECAtz Toshi anaombwa msaada amsaidie mpenzi wake Ussy, Albert anapata nafuu sakina nae anaitwa kuja kumfumania shemson.
Jisajili kuangalia
Up Next
Robert Vs Brown- Kapuni
24 Novemba
Mgeni hataki kumuona Carlos wala Sidi- Huba
22 Novemba
Ugomvi na Kasheshe- Rebeca
20 Novemba
Nani atamukoa Rebeca – Rebeca
13 Novemba
Rachel apoteza Imani - Kapuni
10 Novemba
Jude kafunguka ukweli kuhusu Batuli - Huba
08 Novemba
Maudhui Yanayohusiana
Video
Tima apata gari mpya – Huba
JB ampa Tima gari mpya na Nelly ana wivu, Doris adai kwamba amebadirika na asema na amuonya Roy kuhusu nyumba yao.
Video
Cheka ana mimba – Mwali
Semindu atoa amri baada ya kikao kutowezekana na mama yake Semindu amlazimisha Cheka kutoa mimba. Zawadi apata wageni na Cheka ajuta.
Video
Maria ampa Frank alichokuwa anakitaka– Jua Kali
Tima apata wageni kijijini, Maria ampa Frank kile alichokuwa anakitaka. Thomas naye amuudhi Maria na pia uswazi kuna harusi. Hali ya bibi yazidi kuwa baya.
Video
Doris apata wasiwasi –Huba
Jude amwambia Chidi kwamba amuhimize Happy kupata hela kwa JB. Devi Adam watt wake kwa Tima. Doris na Bi Sikitu wagombana wakati Doris ataka kuondoka kijijini. Ruby amlazimisha Kibibi na Devi kusaini talaka.