Kama ulikosa kutazama Rebeca hujapitwa. Kwa ufupi hapa ndipo mambo imefikia. Ni kasheshe, vituko vya kipekee katika hii tamthilia!!
- Usaliti wa Grayson na Daniel unawafikisha pabaya,Kambona atafuta msaada kwa rafiki, je nani atamuokoa Rebeca ?
- Toshi anaombwa msaada amsaidie mpenzi wake Ussy, Albert anapata nafuu sakina nae anaitwa kuja kumfumania shemson.
- Peti na Abdul drama zao zaelekea wapi? Mishel amemtaja aliyempa uja uzito, je Kambona atafanya nini? Zachy ataponea wakati huu?
- Mimba ya Michele inazua balaa, Kambona ahofiwa kummaliza Daniel, Grayson anaendela kupeleleza yaliomkuta Albert, je hizi kasheshe za Peti zitaisha lini?
- Sakina kajirudisha kwa Bakoli baada ya mambo yake kuwa sawa, Ussy anamuomba Caren msamaha, Shemson anamfumania Sakina je Toshi na Bakoli wanamipango gani? Na Usyy anataka kurudisha majeshi kwa Caren?
Usikose #REBECATZ kila Jumatatu- Jumatano saa 1:30 usiku kupitia Dstv 160, pekee!!
REBECATZ kila Jumatatu- Jumatano saa 1:30 usiku kupitia Dstv 160, pekee!!