Logo
Small billboard rebeca
channel logo dark

Rebeca

160Drama6

Je, Rebeca arudishe moyo wake nyuma? — Rebeca

Habari
06 Machi 2019
Wiki iliopita Daniel alikosana na Monji wakati aliposema Rebeca ni mke wake halisi.
<p>Monji, daniel, rebeca</p>

Rebeca aliendelea na maisha yake wakati Monji na Daniel waliamua kuwa pamoja. Sasa Daniel anataka kurudiana na Rebeca. Tuliwauliza mashabiki wa Rebeca watoe maoni yao. Soma vile walivyo mshauri:

 

1. Rebeca, kaza moyo dada!

 

 

 

2. Rebeca, hakuna kosa lisilo sameheka - samehe Daniel

 

 

 

 

3. Rebeca, fanya kile kitakupa furaha.

 

 

Usikose uhondo ya Rebeca kila Jumatatu hadi Jumatano saa 1:30 usiku, DStv160 Pekee!