Rebeca
160
Drama
PG13
Main
Video
Rebeca ajipata matani – Rebeca
Video
16 Oktoba
Wiki hii kwenye #REBECATZ Baada ya lile varangati , Albert analazwa, rafiki zake tumbo joto, Rebeca nae hali sii hali, Rebeca hakuna anayemwamini amekuwa mkimbizi Je ni nini kitaendela?
Jisajili kuangalia
Up Next
Mapenzi , usaliti na vurugu – Huba
11 Oktoba
Kasheshe na haya- Rebeca
09 Oktoba
Bakoli katupwa inje - Rebeca
03 Oktoba
Joyce hajifahamu- Kapuni
29 Septemba
Huba la Tesa- Huba
27 Septemba
Sakina na Bafoli-Rebeca
26 Septemba
Maudhui Yanayohusiana
Video
Bibi Anna yupo mahututi – Jua Kali
Bibi Anna bado amelazwa hospitalini akiwa hali mahututi na Frank ataka kujua ni nini kinachoendelea kati ya Thomas na Maria.
Video
Peter hataki mwanamke anayependa kwenda Club – Date My Family Tanzania
Bachela wa wiki hii ni Peter Rusagira kutoka Kigamboni. Ni mpiga picha na ana umri wa miaka 24. Baada ya kukutana na familia zote tatu, inabidi afanye maamuzi ni mrembo gani atampeleka kwenye deti.
Video
Maadui– La Familia
Kivu apewa siri ya hali ya juu, na Violeth amwabia Raphael kwamba sasa ni maadui. Mama Ibrahim apewa ushahidi kwamba mume wake anatembea na wanawake wengine.
Video
Henry ni baba yake Gloria? – Pazia
Gloria ataka kujua kama Henry ni baba yake. Maisha ya Regina yapo mashakani na Edu anataka kujua hali yake. Wakati inspector bado funga kesi ya Miriam na Mloe.