Kenzo amsumbua Vivian ofisini – Jua KaliSophie achambwa mtaani baada ya kufumwa na mume wa mtu. Kenzo aja ofisini kumsumbua Vivian. Bill ajakumwona Shangazi Zai na mwanae lakini, Mara amkataa Bill wakati anamwona Felix kwa siri. Pia, mama yake Suzanne ajaribu kumuua mtoto.