Logo
Pazia
channel logo dark

Pazia

160Tamthilia16

Matukio matano makubwa ndani ya #MMBPazia – Maisha Magic Bongo

Habari
14 Septemba 2023
Jiunge nasi tarehe 27 mwezi huu kutazama hitimisho la tamthilia ya Pazia!
Pazia

Baada ya ungwe kadhaa na misimu sita  hatimaye Tamthilia ya Pazia sasa imefikia ukingoni   . Kwa zaidi ya miaka miwili tumekuwa tukifuatilia matukio makubwa ndani ya tamthilia hii. haya ndio matukio yaiyosisimua zaidi ndani ya Tamthilia ya  #MMBPazia:

  1. Regina apoteza fahamu

Pazia alianza na Regina kupotea baada ya kutoka klabu na marafiki zake, hapo alipoteza fahamu na kuamkia hospitali kugundua kwamba alibakwa.

  1. Ndoa ya Regina na Edu

Wakati Regina alivyokuwa tayari kufunga ndoa na Edu, Jemo alijitokeza akidai kwamba bwana harusi hayupo na yeye ndiye atakaye funga ndoa na Regina.

  1. Eliza agundua ukweli kuhusu Gloria na Henry

Baada ya Henry kumuacha Eliza aligundua kwamba alikuwa na mahusiano na binti yake, Gloria.

  1. Jemo kukamatwa kwa wizi

Ukweli uligunduliwa kwamba Jemo alikuwa akiongopa shuleni na alikuwa na madeni mengi.

  1. Regina na Tunu wabadirishwa watoto

Regina na Tunu walijifungua ndani ya hospitali moja na madktari waliwabadilishia  Watoto.

Tunawashukuru watazamaji wrtu wote na wapenzi wa tamthilia hii kwa kuwa nasi kwa kipindi chote hichi , kumbuka mwisho wa safari moja huanzisha nyingine …!

Usikose kuangulia season finale ya #MMBPazia tarehe 27 Septemba saa 1:30 usiku ndani ya DStv chaneli 160 na pia unaweza kufuatilia kwa njia ya #MyDStv App popote ulipo.