Logo
Pazia
channel logo dark

Pazia

160Tamthilia16

Mabosi wabaya zaidi – Maisha Magic Bongo

Habari
01 Septemba 2023
Ni bosi gani unamchukia zaidi?
Article

Sio kila mtu ana bahati ya kupata bosi mzuri, baadhi ya mabosi ndani ya vipindi vya Maisha Magic Bongo ni wakali na wajulikana kwa tabia zao mbaya. Hii ni orodha ya mabosi wanaochuwa ndani ya vipindi vyetu:

Gota – Pazia

Gota alianza kuchukiwa na fanya kazi wake baada ya kuonyesha upendekezo kwa Chamsia. Baada ya kumpandisha Chamsia cheo na mshara alianza mahusiano naye na mahusiano yao yalizidi kuchangia kuonyesha upendeleo kwa Chamsia.

Kibibi – Huba

Kibibi anajulikana kuwa mkatili sana na kama hamna utofauti. Amekuwa akimtesa Monica na mahusiano yake na Fabrizio hayaeleweki kwa watu wengi na ingawa anamuheshimu Fabrizio kuliko wafanya kazi wake wengine wote, bado kuna matatizo kati yao.

Professa Bill – Jua Kali

Bill ndiye mkuu nyumbani, na baada ya familia yake kugundua kwamba miaka iliyopita aliwahi kuwa na mahusiano na Zai, mfanyakazi wa nyumba, Bill aliamua kumuacha Zai afanye kazi kwake wakati mke wake anamchukia.

Mabosi wa Maisha Magic Bongo!

Kati ya hawa watatu, bosi gani ni mbaya zaidi? 

Poll
Gota - Pazia6%
Poll
Kibibi - Huba11%
Poll
Professa Bill - Jua Kali83%

Endelea kufuatilia vipindi halisi vya kitanzania ndani ya DStv chaneli 160, Maisha Magic Bongo