Pazia
160
Tamthilia
PG13
Main
VIDEO
HABARI
Ndoa ya magumashi – Pazia
Video
03 Agosti
Eliza apokea barua ya talaka toka kwa Henry na Miriam amuomba Mdoe wafunge ndoa ya magumashi ili kumfanya Henry awe na wivu. Gloria ampa Henry pesa ya kumlipa Eliza na Regina anataka kujua Regina alitoa wapi pesa.
Jisajili kuangalia
Up Next
Bibi karudi! – Kitimtim
02 Agosti
Hati za talaka zimetiwa saini– Pazia
27 Julai
"Mvua njoo, katarina usije!" – Kitimtim
26 Julai
Zuwena hataki majaribu!– Yalaiti
22 Julai
Fabrizio akamatwa– Huba
22 Julai
Naira akata nywele!– Jua Kali
17 Julai
Maudhui Yanayohusiana
Video
Hali ya Edu ya zidi kuwa mbaya – Pazia
Hali ya Edu yazidi kuwa Maya na apoteza kuongea na kuona. Fred amtimua Henry akidai kwamba sio Juma Mdudu na Eliza amfukuza Mdoe. Latifa afukuzwa nyumbani na Glory apanga mpango wa kumuweka Henry.
Video
Catherine na Peter– Harusi Yetu
Catherine na Peter walikutana baada ya Peter kenda nyumbani kutembea kipindi cha Krismasi. Na leo wafunga ndoa yao
Video
Huyu ndiye Mdudu?– Pazia
Mdoe amuonya Chamsia juu ya barua yake na Dudu arudi kijijini na wana vijiji wadai kumuona.
Habari
Pigia kura Pazia na Huba ndani ya tuzo za AMVCA
Fuatilia hatua hizi kupiga kura yako!