Pazia
160
Tamthilia
PG13
Main
VIDEO
HABARI
Gloria amfuata Regina chuoni– Pazia
Video
21 Julai
Waridi amtafuta Edu na Bidu na Tinu wagombania kuhusu baba yake na Edu. Eliza aja kumuonya Henry kuhusu Regina kwa Gloria.
Stream on Showmax
Up Next
Nafasi ya Pili yajaziwa – Kitimtim
20 Julai
Devi aomba msamaha kwa Tima– Huba
16 Julai
Nani alimpiga risasi Rosie? – Sinia
16 Julai
Regina ataka kumchoma kisu Gloria – Pazia
14 Julai
Kibibi anafanya kazi gani? – Huba
09 Julai
Frank aona wivu l– Jua Kali
09 Julai
Maudhui Yanayohusiana
Video
Je Gloria amebadirika? – Pazia
Edu atakujua kama Regina anamwamini, na Gloria ajiandaa kuandika mtihani.
Video
Gloria amteka Nana– Pazia
Gloria amteka Nana kumrudishia kisasi Lolita na Bidu na Henry wako jela pamoja. Lolita aja kwa Miriam kumtafuta mwanae.
Video
Matukio matano makubwa ndani ya finale ya msimu wa sita wa #MMBPazia
Angalia yote ulikosa ndani ya finale wa msimu wa sita wa kipindi cha Pazia.
Video
Tunu agombana na Remi – Pazia
Regina anawasiwasi na Miriam Makeba, Edu akana mizimu. Gloria ataka kujua kwanini Fred hamtafuti na Tunu agombana na Remi na aishia kukamatwa. Odemba adai pesa fake kwa Bidu au Bidu awe kijakazi wake.