Logo
Mengine Zaidi
channel logo dark

Pazia

160TamthiliaPG13

Unafahamu kipindi cha Pazia vizuri?

Habari
30 Septemba 2022
Fanya hiki kipima joto kuona kama unajua kipindi cha Pazia vizuri!
MMB PAZIA S4 HDTV

  1. Regina ni mtoto wa nani?
  1. Ni nani alijaribu kumuua binti wake baada ya kugundua kwamba binti yake alikuwa na mahusiano na mume wake?
  1. Miriam Makeba ni mjukuu wa nani?
  1. Nani aliachiwa uthiri na bibi yake kwa usharti kwamba ni lazima aolewe kwanza?
  1. Nani ana mke anayeitwa Tunu?
  1. Baada ya kuachwa na Henry, Eliza alianza mahusiano na nani?
  1. Henry alizaa nana ni?
  1. Nani alishawahi kutapeli pesa ya chuo?
  1. Brenda alishawahi kuwa na mahusiano nan ani?
  1. Nani ni baba yake na Gloria?

Endelea kuburudika na kipindi cha #MMBPazia kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 1:30 usiku ndani ya DStv chaneli 160, Maisha Magic Bongo!