Logo
MMB PaziaSM TwitterCover
channel logo dark

Pazia

160Tamthilia13

Wasafiri wa aina tatu ndani ya safari ya marafiki – Pazia

Habari
24 Oktoba 2021
Safari ya Zanzibar imeiva
gettyimages sb10066659d 001 170667a

Marafiki zake Brenda, wafanya mpango ili wote waende Zanzibar. Ingawa hii safari haina nia nzuri kwa Brenda, bado waipanga kama kundi la marafiki wanaoenda kutembea. Kwenye safari yeyote huwaga kuna watu wa aina tatu ambao unaweza kusafiri nao.

  1. Mama wa kikundi – Regina

Kama mama wa kundi la marafiki, kazi ya Regina ni kusimamia kama kila mtu alikula na alifika kwa muda unao stahiri.

  1. Mchelewaji – Brenda

Brenda ndio kama mtoto wa hili kundi, yeye ndiye anakuagawa mwisho kufika na hajui hat ani lini safari. Mama wa kundi, Regina ndiye mkumbushi wake na mara kwa mara huwa anasahau vitu kwenye safari.

  1. Mpangaji – Siti

Siti ndiye mpangaji wa hii safari, yeye ndiye alitafuta ni wapi watakaa na ni usafiri. Siti kama mpangaji ndiye aliye wakutanisha watu wote, kama kiongozi wao hapendi mchezo.

Fuatilia safari ya Zanzibar kila Jumatatu hadi Jumatano saa 1:30 usiku ndani ya #MaishaMagicBongo.