Logo
MMB PaziaSM TwitterCover
channel logo dark

Pazia

160Tamthilia13

Vipindi vya Maisha Magic Bongo ndani ya Showmax

Habari
26 Oktoba 2021
Vipindi bomba unavyoweza kuangalia wikiendi hii
Untitled design (6)

Kama umekosa la kuangalia kumbuka kwamba Pazia, Huba, Date My Family Tanzania na Jua Kali vinapatikana ndani ya Showmax.

 

Huba

Huba imefikia msimu wa kumi sasa hivi, ndani ya msimu huu tunaona jinsi mapenzi kati ya Roy, Nandy na Doris yalipofika.

 

Date My Family Tanzanania

Angalia jinsi watanzania wanavyo jitahidi kutafuta mapenzi, angalia kuanzia msimu wa kwanza.

 

Jua Kali

Jua limewaka na ukali unazidi msimu huu fuatilia kuanzia mwanzo wa kipindi kwa njia ya Showmax.

 

Pazia

Msimu wa pazia unaisha tarehe 10 mwezi wa Novemba, fuatilia kipindi kizima muda wowote.