Pazia
160
Tamthilia
13
Main
VIDEO
HABARI
Regina ajifungua – Pazia
Video
10 Novemba
Waridi ampa ofa ya milioni tano kwa Jemo, ili Jemo amuoe. Wakati Gloria na Ben wazidi ukaribu na igundulika kuwa Juma Mdoe ndio aliyekuwa shamba boy. Hatimaye Regina ajifungua lakini maisha yake yako mashakani
Stream on Showmax
Up Next
Polisi watafuta muuaji wa fundi magari – Huba
05 Novemba
Brenda yupo wapi? – Pazia
27 Oktoba
Mama, siko sawa! l– Jua Kali
22 Oktoba
Tima amechoka – Huba
22 Oktoba
Anna anyowa nywele zake zote l– Jua Kali
15 Oktoba
Safari ya Zanzibar – Pazia
13 Oktoba
Maudhui Yanayohusiana
Video
Matukio matano makubwa ndani ya finale ya msimu wa sita wa #MMBPazia
Angalia yote ulikosa ndani ya finale wa msimu wa sita wa kipindi cha Pazia.
Video
Je Gloria amebadirika? – Pazia
Edu atakujua kama Regina anamwamini, na Gloria ajiandaa kuandika mtihani.
Video
‘Una evidence?’ – Pazia S6 | Ep 55-57 | Maisha Magic Bongo
Chamsia amwambia bos wake kwamba Regina anahusika na upoteaji wa faili.
Video
Gloria amteka Nana– Pazia
Gloria amteka Nana kumrudishia kisasi Lolita na Bidu na Henry wako jela pamoja. Lolita aja kwa Miriam kumtafuta mwanae.