Pazia
160
Tamthilia
13
Main
VIDEO
HABARI
Bwana Mdoe arudi – Pazia
Video
01 Septemba
Bwana Mdoe akataa kama yeye ndiye baba yake Gloria na Gloria ang'ang'ania DNA. Brenda na rafiki yake wapelekwa kituoni cha polisi.
Stream on Showmax
Up Next
Leila aomba msamaha – Sinia
29 Agosti
Nandy ampiga Doris – Huba
27 Agosti
Sina pesa! – Mpali
26 Agosti
Kashaulo akatwa vidole – Huba
20 Agosti
Bidu adai kuona mkataba wake na Sadiq – Pazia
18 Agosti
Rose arudi nyumbani – Sinia
15 Agosti
Maudhui Yanayohusiana
Video
Tunu adai talaka kwa Bidu.– Pazia
Odemba arudi kumdai mdai mtoto wake lakini Loreta hataki kumwambia ukweli. Henry afananishwa na Juma Mdudu na Mdoe adia abaki jela. Hatimaye Tunu adai talaka kwa Bidu na Edu ajiwa na majini.
Video
Huyu ndiye Mdudu?– Pazia
Mdoe amuonya Chamsia juu ya barua yake na Dudu arudi kijijini na wana vijiji wadai kumuona.
Video
Eliza anauzito wa moyo – Pazia S6
Chamsia amwambia bosi wkwamba hamna tena kuchanganya kazi na mahusiano. Regina amwambia Miriam kwamba Mdoe amerudiana na Eliza. Lakini moyo wa Eliza bado upo mito kwa Mdoe.
Video
Regina aokoa kampuni – Pazia S6 Ep22-24
Edu ataka kutoka kwa mashetani lakini Regina bado adai pesa. Bidu aja mudai pesa zake kwa Mdudu akifikiria ni Henry. Tunu amshawishi Mdoe.