Logo
MMB PaziaSM TwitterCover
channel logo dark

Pazia

160Tamthilia13

 Msahidie Inspector! – Pazia

Habari
14 Septemba 2021
Inspector anahisi kwamba siri ndizo zilisababisha kifo cha Lecture Mwachusa.
Screenshot 2021 09 14 at 15

Baada ya Lecture Mwachusa kufariki, kuna uchunguzi rasmi kuhusu kifo chake. Watu wa mwisho kujulikana kuwa walikuwa nae kabla ya kifo chake ni Ben na Brenda. Lakini kwa jinsi uchunguzi unavyoenda, inspector ameamua kuwahoji marafiki zao pia kugundua ni nani alisababisha kifo cha Lecture Mwachusa.

  1. Brenda

Brenda alipelekwa na rafiki yake hotelini kukutana na Lecture Mwachusa, hakujua ni kwanini alikuwa akutana nae na baada ya Lecture mwachua kujaribu kumbaka, Ben alikuja kumuokoa.

  1. Ben

Baada ya kusikia Habari za lecture Mwachusa kuwa na tabia ya kuwaharibu wasichana wa vyuo, aliposia kwamba Brenda yupo nae hotelini alienda kumuokoa.

  1. Dr Love

Inspector aliamua kumuhoji Dr Love baada ya Dr Love kuwa muhusika mkuu kwenye kesi nyingi za zamani zizilizopita.

  1. Jemo

Baada ya kugundulia kwamba Jemo sio rahia wa kitanzania na alikuwa anajificha, inspector anawasiwasi kuwa anaweza kuwa muhusika katika hichi kifo.

  1. Fred

Fred amekuwa mtuhumiwa baada ya kugundulika kwamba ndiye aliyekuwa akimkopesha Jemo pesa. Kisa cha Fred kuwa na pesa nyingi bila kuwa anafanya kazi hakija kaa vizuri na inspector.

Screenshot 2021 09 13 at 15
Msahidie Inspector kujua ni nani atiwe jela - Pazia

Ungekuwa Inspector ni nani unemtia jela? Piga kura yako hapo chini

Brenda27%
Ben27%
Jemo18%
Dkt. Love18%
Fred9%

Usikose kuangalia #MMBPazia kila Jumatatu hadi Jumatano saa 1:30 usiku ndani ya Maisha Magic Bongo!