Logo
MMB PaziaSM TwitterCover
channel logo dark

Pazia

160Tamthilia13

Jemo na Regina waishiwa pesa – Pazia

Habari
16 Agosti 2021
Baada ya kuishi kwa kifahari Jemo aishiwa pesa
Screenshot 2021 08 23 at 17

Gloria alipogundua kwamba Henry ndiye baba yake, mama yake, Eliza alimlazimisha kwenda kuishi kwa Henry. Lakini kwasababu Regina na Gloria walivyokuwa hawapatani matatizo yalianza kutokea.

Ungomvi wa Regina na Gloria ulitokea kwasababu Jemo alikuwa anadai kumpenda Regina wakati anajua kwamba Gloria anampenda yeye. Wivu alizidi kumukumba Gloria, na mpaka wakagombana na Regina alimtolea kisu Gloria.

Baada ya ugomvi huwo, Regina aliamua kuondoka na kwenda kuishi na Jemo. Kipindi alivyohamia kwa Jemo alikuwa hajaguundua siri za Jemo. Ilionekana kwamba Jemo ni mkimbizi aliye kuwa akitapeli wafadhari wake, na sasa hivi alikuwa hana transcript na wadhamini waliishia kumlipia pesa.

Sasa hivi Regina ana mimba na hajiwezi, wakati Jemo pesa ndio zimemuishia kabisa. Je itakuwaje? Usikose kuangalia #MMBPazia kila Jumatatu hadi Jumatano saa 1:30 usiku.