Ni mwezi wa mapenzi, tuliwauliza ni wimbo gani ya mapenzi ambaye ungependa umpendae auone kupitia kipindi chetu cha Mzooka. Hizi ni nyimbo 5 ambazo mulichagua:
Nyashinski — Malaika
Alikiba —Maumivu Per Day
Aslay X Nandy - Subalkheri Mpenzi
Willy Paul and Nandy — Njiwa
Mbosso - Nadekezwa
Mzooka ni burudani ya muziki zilizo hit na kupendwa kutoka pande zote duniani. Usikose kuitazama kipindi hiki kila Jumatatu hadi Alhamisi saa 10 mchana ndani ya DStv chaneli 160 pekee!