Logo
channel logo dark

Mzooka

160MusicalPG13

Filamu fupi, 'MAMA' na habari za Elizabeth Micheal!

Habari
14 Mei 2018
Mahakama kuu yabadilisha hukum ya Elizabeth Micheal na habari zingine!
Aunt Ezekiel

Tukiendelea na mwendo wetu wa kuwaletea habari za ulimwengu wa burudani, MMBongo imepokea ripoti kadha wa kadha kuhusu waigizaji na mastaa wetu wa filamu na muziki!

Kufuatia amri iliyotolewa na Mahakama kuu ya Tanzania mjini Dar es Salaam, hukumu ya Elizabeth Micheal (Lulu) imebadilishwa kuwa kifungo cha nje. Lulu alifungwa gerezani baada ya kupatwa na hatia ya kumuua mugizaji maarafu, marehemu Steven Kanumba.

Aunt Ezekiel alizindua filamu yake mpya iitwayo MAMA filamu aligiza na  binti yake Cookie Iyobo . Filamu ilizinduliwa Jumapili katika ukumbi wa Milimani City hapa Dar es Salaam.

Huku WCB nao hawja baki nyuma na kiki zao je ni kweli Mwarabu Fighter na Sara wa Harmonize kuna kitu hapo? . pata kujua zile video kali zilizo hit kila Juamtatu hadi Ijumaa saa 10 jioni katika kipindi cha Mzooka!