Logo
Mzooka slim New
channel logo dark

Mzooka

160MusicalPG13

Single Mpya ya Rayvanny, Makulusa!

Habari
29 Decemba 2017
Raymond 'Rayvanny' ametushika tena msimu huu wa sikukuu na single moto moto! Soma Zaidi!
rayvanny-makulusa-ft-dj-maphorisa-dj-buckz-www_naijaturnup_com-2017-12-21_13-45-46_409927

Msanii chipukizi aliyesajiliwa katika Wasafi Records Rayvanny ametoa single mpya akishirikiana na vikongwe vya muziki kutoka Afrika kusini, DJ Buckz na DJ Maphorisa! 

Wimbo ‘Makulusa’ ulitolewa mwezi huu wa desemba na ni ngoma kali! Hongera kwake Rayvanny aliyejulikana kwa nyimbo zake kama ‘Kijuso’ Ft. Queen Darleen, Uanibiwa na Zilipendwa ft. Diamond Platnumz.

Sikiliza single mpya ya Makulusa hapa! Ungana nasi kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 10 jioni katika kipindi cha MZOOKA kupata muziki freshi hapa Maisha Magic Bongo.