maisha magic bongo logo
MMB MWALI HDTV
Nozo

Nozo

Ni Mtoto wa Chifu Pingu, ni msomi wa elimu ya upili. Ni Mvuvi, Mpiga zumari, jasiri na mwenye mapenzi kwa familia hasa kwa Mama yake  na mdogo wake. Ana hasira ya karibu na ufanya maamuzi ya haraka akiwa na hasira. Anampenda sana Mwali nidhaifu kwake hasa akiwa amekosea hawezi kukabili makosa yake. Hapendi tabia za Baba yake na mfumo wa Utawala wake, Ni muumini wa harakati za Muungano kwa ushawishi wa Mwali.