Logo
MMB MWALI HDTV

Mwali itaanza Oktoba hii – Maisha Magic Bongo

Habari
13 Oktoba 2022
Kipindi kipya cha #MMBMwali kinatarajia kuanza Jumamosi ya tarehe 29 Oktoba ndani ya DStv chaneli 160!
MMB MWALI HDTV

Nozo ni mtoto wa kwanza wa Chifu Kandamsile, ni kijana aliyejengwa vizuri n ani mvivu wa Samaki kijijini Bagamoyo. Maisha yake yalikuwa hayana muelekeo mpaka alivyokutana na Mwalimindu (Mwali). Mwali ni binti wa Chifu Kandamsile wa Kijiji cha Jirani. Ingawa ni majirai, Mwali na Nozo wajikuta kuwa maadui ya baba zao.

Nozo

Mwali ni mwanamke mzuri anayependa muziki. Mara ya kwanza kwa Mwali kukutana na Nozo, ilikuwa pwani kwa Mbegani, na alimchukia sana juu ya tabia yake mbaya. Lakini baada ya Mwali kupata ajali mbaya ya meli ambayo kasoro imuue, Nozo ndiye aliyemuokoa na kuanzia hapo ndipo alianza kumuona kitofauti na kupenda moyo wake.

Mwali

Kazi ya Mwali ya kuwa mkulima inamfanya asiwe na muda na Nozo, na Nozo aamua kuanza kufanya mazoezi ya ndondi ili asivurugwe akili na mawazo ya Mwali. Lakini mdogo wake Mwali, Semindu, hapendi mahusiano kati ya Mwali na Nozo na ajaribu kuwavunjia mahusiano.

Semindu

Je penzi la Mwali na Nozo ni nzito zaidi ya maadui wote? Usikose kuangalia kipindi kipya cha #MMBMwali kuanzia Jumamosi,  tarehe 29 Oktoba, saa 3 usiku ndani ya DStv chaneli 160.

Onyesho la kwanza la Mwali

Je uko tayari kuangalia Mwali? Tuambie hapo chini

Ndiyo97%
Hapana3%